Deuteronomy 5:2-4

2 a Bwana Mwenyezi Mungu wetu alifanya Agano nasi katika mlima wa Horebu. 3 bSi kwamba Bwana alifanya Agano na baba zetu, bali alifanya nasi, nasi sote ambao tuko hai hapa leo. 4 c Bwana alisema nanyi uso kwa uso kutoka moto juu ya mlima.
Copyright information for SwhKC